Usipende kujilinganisha na wengine;Timiza ndoto zako.

NJIA TANO ZA KUILINDA NDOTO YAKO.
je kuna ndoto yoyote ambayo unapenda kuitimiza katika maisha pengine hautaki mwaka huu uishe,bila kutimiza ndoto yako.
Na mapema kabla hujaondoka duniani uwe tayari umeshatimiza?
Unachotakiwa kujua tu ,ni kwamba;ndoto huwa inazaliwa,inakufa,pengine isife ila ikadumaa,lakini fahamu pia kuna ndoto huwa zinaishia njiani.
Kuna namna unaweza kufanya ili ndoto yako isife,wala isiishie njiani bali ukafikia mafanikio kabisa.

Hizi hapa ni njia tano zitakazofanya ndoto yako kufikia mafanikio na kisha ukaifurahia.
1.Kila siku fanya kitu kuhusiana na ndoto yako.
JOHN MAXWELL   "The secret of your success is in your daily duties" siri ya mafanikio yako iko katika kile unachokifanya kila siku.
Ni muhimu sana kujua kuwa siku yako ndiyo imebeba mafanikio ya wiki yako,na wiki yako imebeba mafanikio ya mwezi wako,na mwezi mafanikio ya mwaka kadhalika,mwaka umebeba mafanikio ya maisha yako.
maisha yako yamebebwa katika unavyotumia siku yako.

watu wengi wakiwa na ndoto huwa hawajali wanasema nitaanza kesho,nitafanya hiki;Hapana kila siku fanya kitu kuhusiana na ndoto yako ;hata kama ni kidogo sana,hata kama ni kusoma tu,hata kama ni kuandika,hata kama ni kuuliza ,hata kama ni kutafuta kitu fulani;fanya na fanya na fanya zaidi.

unapofanya kitu katika ndoto yako inakuwa hai na haitakufa,lakini ukichelea chelea! ndoto inakufa kabisa.na ndoto ikifa maana yake hakuna kufanikiwa tena.

Je! wewe leo umefanya kitu fulani kuhusu ndoto yako?
ndoto na maana zake,ndoto za kifo,ndoto ya nyoka,ndoto na tafsiri zake,ndoto za utajiri,ndoto za maji
ndoto za safari,ndoto polepole,ndoto audio,ndoto africa travel,ndoto apartments diani,ndoto africa
ndoto ajabu,ndotoni audio,arafa ndoto audio,arafa ndoto mp3,ndotoni audio download,arzop ndoto audio download,ndoto by hamis bss,ndoto by mwakasege,ndoto by hamis,ndoto by hamisi bss,ndoto by hamisi wa bss,ndoto by william,ndoto biblia,ndoto by hamisi,ndoto by kala jeremiah,ndoto by yilima,ndoto cottage,ndoto chafu,ndoto christopher mwakasege
Pata mtu wa kuongea nae kila wakati kuhusu ndoto yako(accountability partner).
pata mtu ambaye kila wakati utamwambia umefanya nini,unafanya nini na unatarajia kufanya nini?
Hii itakufanya uwe makini kila wakati kwa mashauri yake na njia mpya za kuboresha unazopata.
kama ndoto unayo wewe tu hakuna anaye kuuliza,hutakuwa na hamasa zaidi ya kupambana.

MUHIMU:Mtu fulani kila wakati akiwa anazungumzia kuhusu jambo lako kuna namna ya kuhisi unatakiwa kufanya zaidi ya ulivyofanya tayari.
ndoto chooni,chege ndoto yangu,ndoto polepole contacts,ndoto ya chooni,ndoto ya chura,ndoto za choo,ndoto zetu campaign
ndoto download,download ndoto yangu by william yilima,download ndoto ya yusufu by bahati bukuku,download ndoto yangu bongo movie,download ndoto by jaguar,download ndoto yangu,download ndoto yangu mp3,drama ndoto zangu,villa ndoto diani beach,ndoto elati nzoto,ndotto elephant
3.Tengeneza tabia zinazoendana na ndoto yako.(Intentional habits developments).
Kuna watu wengi ambao tayari ndoto zao wanazijua,na nini cha kufanya wanajua sana lakini tatizo ni kwamba kuna tabia zinazozuia wao kwenda mbele.
Tabia za kuacha:ukiendelea kuwa nazo utaendelea kufeli kila wakati.
Tabia za kuanza upya: Kwa lengo la kuongeza kasi ya kufikia ndoto.
Tabia za kupunguza: Hizi ni zile zina umuhimu fulani,na wakati huo zinapishana na ndoto yako(kuwa na kiasi)
Tabia za kuongeza: hizi unatakiwa kuzifanya zaidi ili uwe thabiti katika ndoto yako.kwa namna fulani tayari unafanya ila unatakiwa kuziongeza zaidi.
Kwa hiyo ni muhimu sana kujihoji,mambo gani ufanye zaidi na mambo gani uache zaidi ili ufanikiwe.
MFANO:Wanamichezo wana nidhamu za tabia katika vyakula,vinywaji na vitu vingine ili wabaki kuwa na nguvu sitahiki za mchezo.

kila siku punguza tabia fulani au ongeza tabia fulani ili uweze kufanikiwa.
ndoto en fran├žais,ndoto en swahili,ndoto in english,ndoto polepole dar es salaam,ndoto nyevu in english,ndoto ya kupewa ela,ndoto mbaya in english,ndoto zangu in english,ndoto farm iringa,ndoto farms limited,ndoto for africa's future,ndoto farm,ndoto foundation
ndoto farma,fikia ndoto zako,ndoto polepole farm,ndoto polepole farm bagamoyo,ndoto polepole farm bagamoyo tanzania,ndoto gwajima,ndoto gani,ndoto gani audio,ndoto gari
4.Pata muda wa kufikiria kwa kina kuhusu ndoto yako(Imaginative thinking).
jaribu kupata picha kamili itakuwaje ikiwa ndoto yako itatimia,je itakuwaje ikiwa haitatimia,mambo gani unayahitaji zaidi kuifanya ndoto yako kuwa Bora,
je ni watu gani unawahitaji kushirikiana nao?
MUHIMU:Usipotoa muda kwa akili yako kutafakari utakosa hamasa ya kutenda zaidi.kwa sababu ili ndoto yako ifanikiwe inatakiwa iingie kwenye ubongo wa ndani zaidi wa akili yako(subconcious mind)
Kwa hiyo kila unapopata muda wa kutafakari,unaihamisha ndoto kutoka mawazo ya kawaida kuwa kitu unachokifanyia kazi.
ndoto general supplied com limited,ndoto guest house nungwi,ndoto general supplied com limited tanzania,george ndoto
ndoto ya gari,ndoto za gari,ndoto hamisi,ndoto hamis bss,ndoto hamisi bss,ndoto hatari,ndoto hamis,ndoto hub tanzania,ndoto house lamu,ndoto hamiss bss,ndoto husababishwa na nini,ndoto house shela,ndoto inayojirudia,ndoto iyo,ndoto israel
4.Usijilinganishe na watu wengine.(Don't compare your number one chapter with others).
Tunaruhusiwa kujifunza kwa wengine ila siyo kuiga maisha yao.Kama mwenzako yupo ukurasa wa mia moja (100) usikupe shida kuwepo ukurasa wa kwanza(1).Maana kuna wakati yeye pia alikuwa ukurasa wa kwanza.
Ukiishi kwa kuwaigan watu inaweza kukukatisha tamaa sana na kuhisi wewe ni duni kumbe siyo kweli.Kila wakati lenga kwenye ndoto yako,kisha ijenge bila kukatishwa tamaa.
KUMBUKA:Hakuna wakati katika maisha yako,utakosa wa kukuzidi;la! lazima pawepo mtu juu yako,lazima pawe na mtu chini yako.Lazima pawe na mtu mbele yako, lazima pawe na mtu nyuma yako.usikatishwe tamaa.
ijue ndoto yako,isio ndoto yangu,isiyo ndoto yangu,ndoto zetu,initiative,jamani ndoto iyo,ndoto juu ya mpenzi wako,
jaguar ndoto,jaguar ndoto mp3 download,joti ndoto ya babu video
joti ndoto,jiti ndoto,joti ndoto ya babu,jaguar ndoto mp3,ndoto za jini mahaba,ndoto katika uislamu,ndoto kuhusu pesa,ndoto kibiblia
ndoto kuota nyoka,ndoto kuhusu meno,ndoto kujirudia.
Katika vitu hivi vyote kitu gani kinaweza kukusaidia sana wewe kuilinda ndoto yako? Andika hapo chini kwenye comment! sisi ni jamii.
ndoto za jini mahaba,ndoto katika uislamu,ndoto kuhusu pesa,ndoto kibiblia,ndoto kuota nyoka,ndoto kuhusu meno,ndoto kujirudia,ndoto kuhusu maji,ndoto katika ulimwengu wa roho,ndoto kuhusu simba,lonka ndoto yangu mp3 download,lonka ndoto yangu mp3,lotto ndoto,lomodo ndoto,ndoto road lavington
ndoto zetu leo,tuna ndoto lyrics,ndoto mwakasege,ndoto mbalimbali na tafsiri zake,ndoto mbalimbali
ndoto mbaya kwa mjamzito,ndoto mbaya usiku,
ndoto maana yake nini,ndoto maana zake,ndoto na maana,ndoto ni nn,ndoto na tafsir zake,ndoto nyevu husababishwa na nini,ndoto nzuri,ndoto na tafasili zake,ndotoni one incredible,ndoto zetu online application form,ndoto zetu online application,ndoto ya kung'oka meno,ndoto ya ng'ombe,ndoto ya kung'oa jino,ndoto za kung'oka meno,ndoto pole pole bagamoyo,ndoto polepole bunju,ndoto pole pole hotel,ndoto pdf,nipo kwenye ndoto qaswida download,nipo kwenye ndoto qaswida,niko kwenye ndoto qaswida
tafsiri ya ndoto quran,ndoto kwenye quran,ndoto road,roy ndoto
roy ndoto morogoro,ndoto ya radi,ndoto mountain range,ndoto za radi,ndoto za rangi,ndoto ya rangi nyekundu,ndoto ya kupigwa risasi,ndoto singeli,ndoto singeli audio,ndoto singeli mp3,ndoto sms storage android,ndoto safaricom,ndoto shule

ndoto safari
ndoto singeli download,ndoto sya nduku,ndoto song
s kide ndoto,s kide ndoto mp3,s kide ndoto audio,ndoto tafsiri,ndoto tata mp3,ndoto tamu,ndoto tv
ndoto tata,ndoto tafsiri yake,tuna ndoto kala jeremiah,ndotoni timbulo,timiza ndoto na safaricom,ndoto ukiota nyoka,ndoto ukiota una mimba,ndoto upo shule,ndoto ukiwa shuleni,ndoto unapaa,ndoto unasafiri,ndoto ukiota mvua,ndoto ukiota unapaa,ndoto video,villa ndoto,villa ndoto diani.ndotoni video download,ndoto za viatu,ndoto ya viatu,ndoto za vita,ndoto ya vita,ndoto ya viazi
ndoto wimbo,wana ndoto by kala jeremiah,wana ndoto,wana ndoto mp3,william ndoto ,angu,www.ndoto zetu,wawindaji ndoto,wana ndoto audio,wana ndoto audio download,www.ndoto ,a maana zake,ndoto ya harusi yangu,ndoto ya yusufu,ndoto ya msiba,ndoto ya moto,ndoto ya samaki
ndoto za nyoka,maana ya ndoto 12 kibiblia,ndoto 1,mwakasege ndoto 2018,ndoto zetu 2018
nike 270,ndoto zetu 2020,ndoto zetu 2019,ndoto 2 ndoto 300,ndoto 300 na maana zake,ndoto zangu 3,tafsiri za ndoto 300,ndoto zaidi ya 300,tafsiri ya ndoto 300,orodha ya ndoto 300,penzi ndotoni 4
tafsiri za ndoto 50 kibiblia,ndoto 7,nike 97 ndoto 93

Chapisha Maoni

0 Maoni