Namna ya kugundua kusudi lako,la maisha.

Nitajuaje kusudi la maisha yangu? pengine hili ndilo swali ambalo limekutesa kwa muda mrefu.
leo tutajifunza namna ya kugundua kusudi la maisha yako.

1.angalia uwezo ulio nao.
ukweli ni kwamba kitu chochote kilichoumbwa duniani,kina kusudi la kuumbwa.
katika taratibu za uumbaji tunasema;kusudi lilitangulia uumbaji.(Purpose came first before creation)
kabla hujaja duniani palikuwa na kusudi lililowekwa kwanza ili kwamba utatue hilo tatizo,au utimize hilo kusudi.
Hakuna hata mmoja aliyepo duniani kwa bahati mbaya;lipo kusudi kwa nini unaishi.
Hata kama leo huyafurahii maisha yako,tambua lipo kusudi.
MUHIMU:Angalia upekee wako ,angalia nguvu yako,angalia jambo ambalo unalifanya vizuri bila kutumia nguvu kuliko watu wengine.
naomba uwezo wako bwana,tunaomba uwezo wako,tunakiri uwezo wako,tunaomba uwepo wako uende nasi,uwepo wako audio download,uwepo wako audio,uwepo wako by mercylinah mp3 download,uwepo wako by mercylinah mp3,uwepo wako by fanuel sedekia,uwepo wako by reuben kigame,uwepo wako bwana
uwepo wako by john lisu,uwepo wako by sedekia
MIFANO:
1.Ndege anapozaliwa hahitaji kuchomwa sindano ili aweze kupaa angani
2.Samaki anapototolewa kwenye maji pia hahitaji kufundishwa kuogelea ili aogelee.

Wote hao wanafanya vema tu;kwa sababu uwezo wa kufanya hivyo wameumbwa nao;umo ndani yao.

na wewe ndani yako kuna uwezo wa kupekee; kama ukiugundua unaweza kukusaidia.

JIULIZE: Hivi kuna jambo gani ambalo nalifanya kwa urahisi zaidi kuliko mambo mengine?
Liandike jambo hilo kisha ;anza kulifanyia kazi,ghafla utapata urahisi zaidi wa kutimiza kusudi la wewe kuishi.

2.Angalia maisha yako ya nyuma.
jaribu kuangalia kuwa katika wakati gani wa maisha yako ulifikia mafanikio ya kiwango cha juu sana?
JIULIZE: Ni njia gani au jambo gani nililifanya kufikia hapo? kisha reja fanya tena kwa juhudi.
Ili mradi ni jambo sahihi huvunji sheria,utafanikiwa sana.
uwepo wako by fanueli sedekia,uwepo wako by mercylinahuwepo wako fanuel sedekia,uwepo wako fanuel sedekia mp3 download,uwepo wako in english,boresha uwezo wako wa kusoma na kufundisha,uwepo wako mp3 download,uwepo wako mp3uwepo wako mercylinah wambugu,uwepo wako song download
uwepo wako sedekia,uwepo wako song

3.Waulize watu wako wa karibu;kuna kitu gani wanakiona ndani yako ambacho ni cha pekee sana?
wewe kama umeumbwa kuwa mwimbaji mkubwa,kuwa mchezaji wa mpira,kuwa mbunifu wa vitu;Tambua hilo jambo lipo chini ya uwezo wako.
Tatizo kubwa la watu;hawajitathimini,hawajiangalii,hawajikagui.

leo jaribu kufanya zoezi hilo;jiulize maswali matatu,ili ujue jinsi ambavyo maisha yako yanaweza kuwa yenye mafanikio zaidi.

Andika kwenye comment;kama tayari kuna kitu umekiona na tayari inakupasa ukilete kwenye maisha yako.ASANTE!
ushauri wa maisha,ushauri nasaha,ushauri wa biashara,ushauri kwa vijana,ushauri ni nini,ushauri na unasihi,ushauri wa ndoa,ushauri katika mahusiano,ushauri wa bure,ushauri app,ushauri africa,anaomba ushauri,mama ushauri audio download,mama ushauri audio,dallys ushauri audio,dallys ushauri audio download
mama ushauri audio mpya,mama ushauri audio 2019,ushauri band songs,ushauri biashara,ushauri by dallys,mama ushauri baba jeni mp3,mama ushauri baba jeni,ushauri consulting,mama ushauri ccm
ushauri wa chuo,chuo cha ushauri nasaha,jiko la ushauri com
chuo cha ushauri,chumba cha ushauri nasaha,ushauri kuhusu chuo
dallys ushauri,dallis ushauri,dallys ushauri mp3,dallys ushauri download,dallas ushauri mp3,dallis ushauri mp3,dallyz ushauri,dalls ushauri,ushauri wa elimu,ushauri in english means
ushauri,subaru forester shayari,grupo ashauri,wakwanza hatupokei ushauri,ushauri kuhusu toyota harrier,ushauri toyota harrier,ushauri in kiswahili,ushuaia ibiza,ushauri toyota ist,ushauri subaru impreza
kuomba ushauri in english,ushauri juu ya maisha,mama ushauri jamii forum,ushauri kuhusu maisha,ushauri kuhusu ndoa,ushauri kwa mama mjamzito,ushauri ltd
ushauri wa leo,figa la ushauri,ushauri nasaha lyrics,ushauri mahusiano,ushauri maisha,mama ushauri,mama ushauri nyimbo mpya.,mama ushauri mpya,mama ushauri 2019,ushauri nasaha kwa vijana,ushauri nasaha kwa wanafunzi,ushauri nasaha-stamina ft fid q,ushauri nasaha ni nini,ushauri na unasihi ni nini,meaning of ushauri,translation of ushauri,ushauri platz,mama ushauri picha
ushauri kuhusu pesa,rfa ushauri wako,ushauri suzuki swift
ushauri sms,songa ushauri wa bure,stamina ushauri nasaha mp3 download,stamina ushauri nasaha,stamina ushauri nasaha audio download,stamina ushauri nasaha mp3,stamina ushauri na saa mp3
songa ushauri wa bure audio download,ushauri toyota spacio
ushauri translation,taqwa ushauri,ushauri kuhusu toyota nadia,ushauri kwa waliokata tamaa,ushauri wa ujenzi wa nyumba
ushauri kwa mwenye ukimwi,ushauri kuhusu ujenzi,ushauri kwa uaminifu,ushauri nasaha na unasihi,ushauri kwa umma,mama ushauri video mpya,mama ushauri video 2019,ushauri kwa vijana kuhusu maisha,vituo vya ushauri nasaha tanzania,ushauri wa kimaisha,ushauri wa kilimo,maneno ya ushauri,maana ya ushauri
maana ya ushauri nasaha,misingi ya ushauri na unasihi,maana ya ushauri na unasihi,kamati ya ushauri ya wilaya,misemo ya ushauri
sms za ushauri,aina za ushauri nasaha,methali za ushauri,aina za ushauri,msg za ushauri,mama ushauri 2018,mama ushauri 2019 download,

Chapisha Maoni

0 Maoni