Andiko linalohusu maisha yako.

Andiko linalohusu maisha yako(personal mission statement)
ukifuatilia nchi yoyote lazima iwe na mission statement au jambo inalohitaji kulikamilisha.
taasisi zozote kubwa lazima ziwe na mission statement
na wewe kama mtu unayehitaji kuishi katika kusudi lako lazima uwe na namna ya kuelezea namna utakavyoliishi kususdi lako.

na hiki ndicho tunachokiita personal mission statement
hii ni sentence ambayo unaweza kuiandika ikielezea leo yako na kesho yako;na kule ambako unataka kuelekea.
sasa ili uwe mtu unaye hitaji kuishi katika kusudi lako lazima uandaae personaal mission statement yako.
ambayo inajumuisha mambo 3 makubwa.
1.kusudi lako la maisha(purpose)
2.Hamasa ya kitu unachokitafuta.(passion)
3.mpango wa kutimiza kusudi ulilo nalo(plan).

ili uweze kufikia malengo yako lazima ukae chini na utafakari
KWAMFANO:
miaka mingi sana nimekuwa nikijiuliza kusudi langu ni nini katika haya maisha?
na nikaangalia nikafanyia mazoezi ya lile somo la pili na baadae nikagundua kumbe kusudi lang la maisha ni kuwahamasisha wantu
kugundua na kutekeleza makusudi yao ya maisha.na kuwapa mbinu za kufanikisha yale ambayo wameyakusudia kuyafanikisha.
kwa hiyo nikaandika.

UMUHIMU WA HII NI NINI?
INATOA MWELEKEO NA MTAZAMO SAHIHI WA MAISHA.kama huwezi kujielezea unakwenda wapi,hutajua unakoelekea.
chukua dakika chache kabla hujaendelea zaidi kaa chini na jaribu kuandika,unataka kufanikiwa kwenye jambo gani katika maisha yako.
ukifanikiwa ningependa pia nijue jinsi gani unaweza kufanikiwa kusudi lako.
ukiweza kuandika hili itakuwa ndio mwongozo wa maisha yako.

kama hujui unako kwenda popote ulipo utazani umefika.


andika personal mission statement yako leo kwa ufasaha zaidi

mimi fulani.....
kusudi la kuishi maisha yangu ni kufanya jambo 1,2 3.....
na ili nijue nimefanikiwa nitaona kitu fulani......
ukifanikiwa kuandika hivyo itakuwa ni mwanzo mzuri sana wa kuanza kuishi katika kusudi lako;kumbuka:kusudi la maisha yako ndio msingi wa mafanikio yako.

Chapisha Maoni

0 Maoni