Kanuni moja Muhimu;kwa mafanikio yako 2020

Kwa nini kuna watu wanatimiza malengo katika mazingira yale yale ambayo mimi na wewe tupo, lakini wengine hawafanikiwi?

Utakumbuka katika maisha yako.watu ambao wamepiga hatua wengine siyo kwa sababu wana akili zaidi kuliko wewe.
wengi ulikuwa unawapita darasani; mtu mmoja aliwahi kusema "hakuna kitu kinauma kama mtu uliyekuwa unampita darasani halafu ana hela kukuzidi"

kuna watu wengi wa aina hiyo tunao,mtu hata ukikaa nae ofisini unaona kabisa ni wa kawaida tu.
lakini akianza kukwambia mambo yake; sijui ! nina mradi bagamoyo,nafuga kitu fulani pale.
Halafu wewe unajishangaa uko vilevile tu,kila mwaka.

kuna vitu vingi sana vinavyochangia kututofautisha na nafikiri,hivi ndivyo vitu vya muhimu zaidi vya sisi kujifunza.
Tunapokuwa tuna malengo,ni vitu gani ambavyo ni vya msingi kuvifahamu ili viweze kutusaidia zaidi.

Nataka nikufundishe kanuni moja tu! ambayo nataka kila wakati 2020 uwe unaiangalia.
kwa sababu mimi binafsi naona imenisaidia sana katika kufanya mambo yangu.

THE LAW OF TIMING IN GOAL SETTING
KANUNI YA KUJUA UFANYE NINI WAKATIGANI,na ufanye wapi?
usipokuwa na law of timming unaweza kuwa na vipaji sana,connection za uhakika,una watu ,una elimu n.k
ukikosea law of timming utafeli kwenye maisha yako.
Na kuna watu wengi leo ukiwaangalia,unajua kabisa wan kitu cha tofauti sana,lakini wamemiss timming tu kwenye maisha yao,ndiyo maana wapo vile.
akipatia timming tu atafika mbali sana kule ambako anahitaji kwenda.

hata kuna wachezaji wa mpira wafungaji wazuri sana ila kwa sababu ya right positioning.
anaweza asiwe mpiga chenga ila anajua,akae wapi ili akipewa mpira tu anaweka goli.na thamani yao inabebwa na hicho kitu.

Christopher.I.langerhan kwenye utafiti inaonekana kuwa ndiye mwanasayansi alikuwa na IQ kubwa kuliko hata albert einstein
katika maisha.
Lakini huyu jamaa kuna kitu cha tofauti aliwahi kukifanya,kulikuwa na shindano moja.lilikuwa kwenye Tv lILILOKUWA LINAITWA 1-100
KWENYE LILE SHINDANO,lilikuwa linaulizwa swali moja,hawa 100 wanaruhusiwa kushirikiana lakini wewe mmoja peke yako.
Na kila swali ulikuwa ukipatia unapata pesa.Yakaulizwa maswali mfululizo wale 100 wote wakawa wanakosa.
Yeye  akawa anapata peke yake mpaka akafikisha dola 250,alipopata dola 250 akasema naishia hapahapa.
Watunwakamwambia kwa nini unaishia hapa wakati unauwezo wa kuendelea kufanya na kupata pesa.akasema no! no! no!
"kwenye maisha hutakiwi tu kujua wakati wa kuingia unatakiwa ujue pia wakati wa kutoka"


kwenye law of timming kwa mujibu wa john maxwell kwenye kitabu chake cha 21 refutable laws of leadership
mambo 4 yanayotokea kwenye maisha yetu
"1.watu wanao fanya vitu visivyo sahihi kwa wakati usio sahihi-wrong action and wrong timming-ametoka kwenye inspiration na amekuwa inspired kesho j3 anaandika barua ya kuacha kazi.
kuna watu wameingia katika kazi,zisizotakiwa na kwa muda usio takiwa,katika mahusiano yasiyotakiwa na kwa muda usio takiwa.
ukifanya kwenye wrong time wrong action unapata disaster(Janga).siyo kwa sababu huna elimu,siyo kwa sababu huna ufahamu ,siyo kwa sababu hujasoma vitabu.its law of nature
kuna majanga mengi tumeyatengeneza kwa kufanya vitu visivyo sahihi kwa wakati usio sahihi.

2.watu wanaofanya kitusahihi kwa wakati usio sahihi-right action wrong timing" hapa kuna watu wengi sana.
kuna watu wengi sana wana uwezo wa kuwa public speaker,wana kitu ndani yao.
katika kombination hii unapata resistance.-unakataliwa kwenye kitu unachokifanya.siyo kwamba siyo mtu sahihi ama siyo kitu sahihi! la! umefanya kwenye wrong timing.

3.wrong action at the right time.(mistake)
kosa unaweza ulirekebisha ila siyo makosa yote unaweza kuyasahihisha kwa urahisi.mengine yanaweza kukuchelewesha kufika unakotaka kwenda.

4.Rigt action at the right time.
mafanikio=kitu sahihi kilichofanywa kwa wakati sahihi.

kuna posibility mbili.kuna mtu anachelewa kufanya kitu kwa hiyo anakifanya nje ya muda.
ana wazo.infact risearch zinaonesha kuwa ndani ya mwaka kuna mawazo mengi sana ambayo tunapata lakini ukifanyia kazi mawazo manne tu kati ya hayo,
yanatosha kukutoa kimaisha.
watu wengi hawachukui hatua yoyote ya mawazo yao.
hakuna mtu mwenye monopoly ya mawazo anayeweza kusema hili ni langu labda kama amelifanyia kazi.
wazo haliwi lako mpaka uwe umelifanyia kazi.
kwa sababu wazo ni roho usipolifanyia kazi likaji manifest kwako litamtafuta mtu mwingine likajimanifestChapisha Maoni

0 Maoni